SIRI AMBAZO MKE HAPASWI KUMWAMBIA MUME WAKE KULINDA NDOA

Bila shaka haipaswi kuwa siri baina ya wanandoa, lakini kuna baadhi ya vitu ambavyo mwanamke hapaswi kumwambia mume wake, hata kama wanapendana kiasi gani. Yafuatayo ni mambo 5 ambayo mwanamke hapaswi kumwambia mume wake: Idadi ya wanaume uliojamiiana nao kabla ya kuoana na mume wako Hupaswi kumfahamisha mpenzi wako wa kiume au mume wako ni